Nenda kwenye maudhui
  • Ukurasa wa Mwanzo
    • Tuma ujumbe faraghaniEndelea kuwasilianaUnganishwa katika vikundiJielezeWhatsApp kwa ajili ya biashara
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa ajili ya Biashara
  • Pakua
Pakua
Masharti na Sera ya Faragha2025 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Tuma ujumbe faraghani

      Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho na vidhibiti vya faragha.

    • Endelea kuwasiliana

      Tuma ujumbe na upige simu bila malipo* kote ulimwenguni.

    • Unganishwa katika vikundi

      Utumaji ujumbe kwenye kikundi umerahisishwa.

    • Jieleze

      Jieleze kwa vibandiko, GIF, Picha na zaidi.

    • WhatsApp business

      Fikia wateja wako popote walipo.

  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa ajili ya Biashara
  • Programu
IngiaPakua

Unganisha na ufanye mambo mengi kwa kutumia vikundi

Kuanzia magumzo ya kila siku na marafiki zako wa karibu zaidi hadi kuwasiliana na wafanyakazi wenzako, utumaji ujumbe kwenye kikundi cha WhatsApp hukusaidia kuendelea kuwasiliana na watu wako wote. Ni ya bila malipo*, ya faragha na ina vipengele unavyohitaji ili kufanya mazungumzo yawe rahisi na yenye tija zaidi.

* Gharama za data zinaweza kutumika. Wasiliana na mtoa huduma wako ili kupata maelezo.

Utumaji ujumbe wa kikundi cha WhatsApp huleta kila mtu pamoja, iwe mnapanga harusi, mnafanya mradi wa kikundi, au mnapiga tu gumzo.

  • picha ya skrini ya mtungo wa gumzo la whatsapp inayoangazia mazungumzo ya midia anuwai kwa ujumbe wa video, maandishi, na sauti, inayoonyesha mawasiliano mwafaka kwenye programu maarufu ya utumaji ujumbe
  • picha ya skrini ya gumzo la kikundi cha whatsapp cha kupanga hafla, inayoangazia mazungumzo yaliyopangwa na ujumbe wa maandishi unaoangazia vipengele vya kushirikiana vya programu kwa ajili ya kuratibu mikusanyiko na mikutano
  • picha ya skrini ya mtungo wa gumzo la whatsapp linalojadili chakula kitamu na kura shirikishi, inayoonyesha mandhari ya gumzo la programu
  • Leta haiba yako kwenye gumzo

    Onyesha watu wako kile unachofanya kwa kutumia dokezo la video, wasiliana nao kwa ujumbe wa sauti, au walete kila mtu pamoja kwenye simu ya video ya kikundi.

  • Panga na upate visasisho

    Kupitia utumaji ujumbe wa kikundi cha WhatsApp, unaweza kutuma kura ili kufanya maamuzi, kuunda matukio, kufuatilia RSVP na kutuma faili kubwa kwenye gumzo.

  • Ungana juu ya mapendeleo ya pamoja

    Anzisha magumzo ya kikundi kwa mambo unayopenda kufanya na ushabiki, na ubadilishe mazungumzo yako yakufae kwa mandhari na ikoni za kikundi.

  • Kutana ukitumia simu za kikundi

    Hamisha mazungumzo yako kutoka kwa magumzo hadi kwa simu kwa kutumia simu ya kikundi kwenye WhatsApp. Panga simu, tuma kiungo cha simu, au shiriki skrini yako— bila kuondoka kwenye WhatsApp.


Dhibiti vikundi vyako

Kuwa salama kwa vipengele vya utumaji ujumbe kwenye kikundi kwa njia ya faragha

Unaweza kudhibiti ni nani anayeweza kukuongeza kwenye kikundi, kuweka ujumbe kutoweka baada ya muda maalum, au kutuma ujumbe ambao hutoweka kwenye gumzo baada ya mpokeaji kuufungua mara moja. Na, unaweza kuzuia anwani mahususi ili kuzuia simu na ujumbe usiotakikana wakati wowote.

Pata maelezo zaidi

Waalike watu bila kujali kifaa

Iwe unatumia Android au iOS, alika hadi watu 1000 kwenye kikundi chako cha WhatsApp. Wasimamizi wanaweza kuchagua anayeweza kuongeza na kuwaondoa watu.


Sema mengi kwa vipengele zaidi

Emoji, vibandiko, ujumbe wa sauti na ujumbe wa video hukupa chaguo zote unazohitaji ili kujieleza kila wakati.

Pata maelezo zaidi

Jifunze zaidi kuhusu Jumuiya

Nyenzo za ziada za mafunzo kwa wasimamizi kuhusu kutumia vipengele na kudhibiti jumuiya yao kwa njia madhubuti.

Kituo cha Mafunzo cha Jumuiya

Je, unahitaji msaada zaidi?

Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Jinsi ya kuunda ujumbe au matini ya kikundi kwa Android au iPhone kwenye WhatsApp?
Jinsi ya kufuta kikundi kwenye WhatsApp?
Je, ninawezaje kuwaalika watu kwenye ujumbe wa kikundi kwenye iPhone au Android?
Jinsi ya kuongeza watu kwenye kikundi cha WhatsApp?
Ninaweza kujifunza wapi zaidi kuhusu Jumuiya?
Je, ni jinsi gani ambavyo ninaweza kuunda Jumuiya?
Je, Matangazo ya Jumuiya ni nini?
Je, ninawezaje kuwaalika watu kwenye Jumuiya?
Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua
Huduma Zetu
VipengeleBloguUsalamaKwa Biashara
Sisi ni nani
Kutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha
Tumia WhatsApp
AndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web
Unahitaji msaada?
Wasiliana NasiKituo cha MsaadaProgramuUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2025 ©

Sheria na Sera ya Faragha
Sitemap